Jumapili, Julai 17, 2016

ANGALIA WALIOCHUKUA TUZO VODACOM PREMIER LEAGUE 2015/16



BINGWA
Yanga

MSHINDI WA PILI
Azam FC

MSHINDI WA TATU
Simba SC

TIMU YENYE NIDHAMU
Mtibwa Sugar

MWAMUZI BORA
Ngole Mwangole

KOCHA BORA
Hans Van Pluijm - Yanga


MFUNGAJI BORA
Amissi Tambwe - Yanga


GOLIKIPA BORA
Aishi Manula - Azam

GOLI BORA
Ibrahim Ajib - Simba

MCHEZAJI BORA WA KIGENI
Thaban Kamusoko - Yanga

MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI
Mohamed Hussein Tshabalala - Simba

MCHEZAJI BORA WA MSIMU
Juma Abdul Jafari - YANGA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni