Ijumaa, Julai 15, 2016

MBWANA SAMATTA AZIDI KUNG'ARA ULAYA


#MICHEZO Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta jana usiku alifunga bao moja dakika ya 79 ya mchezo na kuiwezesha KRC Genk ya Ubelgiji kushinda kwa mabao 2-0 dhidi ya Buducnost Podgorica katika mechi ya kuwania kucheza Europa Cup.

Timu hizo zitarudiana siku chache zijazo ili timu moja isonge mbele na mechi hiyo ya marudiano klabu ya Mbwana Samatta(GENK) itakuwa ugenini.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni