
Kocha mkuu wa Chelsea amesema kiungo mshambuluaji Juan Cuadrado atabakia Chelsea msimu ujao.
Mchezaji huyo aliyeutumia msimu uliopita kwa kucheza kwa mkopo nchini Italia katika timu ya Juventus na kufanikiwa kufunga mabao matano pia alisaidia upatikanaji wa mabao mengine 6.
Ingia facebook kisha like page yetu ya "SOKA WADAU" ili upate kufaidi habari za michezo zikiwa bado mbichi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni