Jumapili, Julai 24, 2016

Muonekano Mpya wa Lionel Messi



Katika kujiandaa na msimu mpya wa ligi, kila mchezaji huja na staili yake ikiwemo ushangiliaji, kuweka maneno kwenye fulana za ndani, unyoaji wa nywele n.k.

Katika kunogesha hilo, mwanasoka anayeshikilia rekodi ya Dunia, M-Argentina Lionel Messi Lapuga amekuja na muonekano mpya wa nywele kwake, mtindo huo umefananishwa na muonekano wa baadhi ya wachezaji waliowahi kuufanya wakiwemo Phil Jones wa Man U, Samir Nasri wa Man City na Aaron Ramsey wa Arsenal.

Angalia hii picha hapa chini jinsi staili hiyo ilivyofanana na hao waliotajwa hapo juu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni