Jumatatu, Julai 25, 2016

SIMBA YAAHIRISHA MECHI ZA KIRAFIKI


Klabu ya Simba Sc imetangaza kuahirisha mechi zake za kirafiki.Na mechi ya kwanza ilikuwa ichezwe Jumanne dhidi ya Polisi Morogoro.

Tutaendelea kuwaletea taarifa zaidi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni