Jumatano, Julai 27, 2016

NAMNA AMBAVYO YANGA WANAWEZA KUSONGA MBELE KATIKA KOMBE LA SHIRIKISHO



Baada ya TP Mazembe leo kuifunga MO Bejaia
bao 1-0, msimamo wa kundi unakuwa kama
ifuatavyo : -
1. TP Mazembe 10
2. Mo Bejaia 5
3. Medeama 5
4. Young Africans 1
Mechi zijazo ni
- Young Africans vs MO Bejaia (Taifa)
- TP Mazembe vs Medeama (Ghana)
Young Africans AMFUNGE MO Bejaia Taifa,
Mazembe amfunge Medeama. Msimamo
unakuwa hivi . . .
1. TP Mazembe 13
2. Mo Bejaia 5
3. Medeama 5
4. Young Africans 4
Mechi za mwisho
- MO Bejaia vs Medeama
- TP Mazembe vs Young Africans
Young Africans AMFUNGE TP Mazembe, MO
Bejaia vs Medeama isitoe mshindi
Msimamo WA MWISHO unakuwa hivi . . .
1. TP Mazembe 13
2. Young Africans 7
3. Mo Bejaia 6
4. Medeama 6

Hapo ndipo maajabu ya soka unaweza kuyaombea...!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni