Jumamosi, Julai 16, 2016

NONGA ASAINI MWADUI, KAVUMBAGU AFUNGIWA


Mshambuliaji wa zamani wa klabu za Azam fc na Yanga mrundi , Didier Kavumbagu amefungiwa kucheza ligi kuu nchini Vietnum mpaka mwezi Disemba na shirikisho la soka dunia FIFA kwa kosa la kusaini mkataba na vilabu viwili tofauti katika ligi soka nchini Vietnum Licha ya mchezaji huyo kufuzu majaribio katika klabu ya Dong tam Long An.

Pichani:-
Paul Nonga akisaini mkataba wa kuichezea Mwadui FC, Nonga aliuomba uongozi wa Yanga SC auzwe kwenye klabu atakayopata nafasi ya kucheza!kila la heri Paul Nonga.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni