
Timu ya Young Africans itaondoka nchini kuelekea Ghana siku ya Jumamosi saa 1 asubuhi na ndege ya Kenya Airways.
Yanga inakwenda kucheza na Medeama mapema wiki ijayo kwa ajili ya kujaribu kujiweka pazuri kutokana kuharibu mechi karibu zote ilizocheza katika hatua hiyo
Msafara utakuwa wa watu 30 (Wachezaji 21 na viongozi 9)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni