
Klabu ya Simba yenye makao yake mtaa wa Msimbazi leo kupitia ukurasa wake wa facebook umeonyesha uzi au jezi zitakazotumika msimu ujao.
Jezi hizo zitaanza kuuzwa rasmi kuanzia tarehe 8 August siku ya adhimisho la miaka 80 "SIMBA DAY" ambapo miamba hao wa Soka Tanzania watacheza na timu ya AFC LEOPARDS ya Kenya
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni