Jumatatu, Julai 25, 2016

Deal Done: SALUM TELELA AJIUNGA NDANDA F.C


Salum Telela "Master" kajiunga na Ndanda FC.
Ni baada ya tetesi na lawama nyingi kutokea, sasa Telela ameamua kujiunga na Ndada F.C wana "Kuchele"

KILA LA HERI TELELA. . TUNAKUOMBEA MAFANIKIO KATIKA OFISI YAKO MPYA.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni