
Benchi la ufundi la mabingwa wa Tanzania bara klabu ya Yanga, tayari limeachia majina ya wachezaji ambao wataiwakilisha klabu hiyo kwenye mchezo wake wa marudiano dhidi ya Medeama utakaochezwa Ghana saa chache zijazo.
Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa 9:00 alasiri kwa saa za Ghana sawa na saa 12:00 kwa saa za Afrika Mashariki.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni