Jumatano, Julai 20, 2016

OMOG AKATA JINA LA BUKUNGU


Masaa 14 yaliyopita, kocha wa Simba Joseph Omog amelikata jina la Besala Bukungu kwa kutoridhishwa na kiwango chake.

Haya hapa maneno ya Bukungu wakati anawasili Tanzania akitokea Congo.
"Ninamjua vizuri Ngoma, Simba tulieni" Nimesikitika sana Simba kufungwa mara kwa mara na Ngoma, nimekuja kuwapa furaha Simba" tulieni.

Like page yetu facebook "SOKA WADAU" kwa kila habari mpya ya michezo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni